Friday, 27 April 2018

Remy Ma aachia ngoma yake mpya, akumbuka alivyokuwa gerezani

Baada ya kuachia ngoma mfululizo akiwa na Lil’ Kim na nyingine na Chris Brown, Remy Ma amerudi tena akiwa na A Boogie wit da Hoodie.
Kwenye ngoma hiyo yenye urefu wa dakika 3 na sunde 57, Remy amechana badhi ya mistari kuonyesha hisia zake kipindi alipofungwa gerezani.
“I was getting one visit, two phone calls, three showers a week. Now I get like $90K for my voice just to touch the beat / I will never ask you what you got for me / I just want some sloppy every couple days, I want the D,” amerap Remy kwenye wimbo huo.
Tazama video ya wimbo huo hapa chini.No comments:

Post a Comment