Tuesday, 24 April 2018

RC GAMBO AMPA POLE HIDAYA KWA KUFIWA NA MWANAYE

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amefika nyumbani kwa marehemu Kaloleni, jijini Arusha, Leyla kutoa pole kwa mama yake mzazi maarufu kama Hidaya ambaye mwili wake ulifika jijini Arusha jana kutokea Uingereza ambako aliuawa kwa kuchomwa visu na mumewe wiki kadhaa zilizopita.
Mazishi yake yamefanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.
Mama mzazi wa Leyla, maarufu kama Hidaya, akipewa pole leo nyumbani kwake Kaloleni, Arusha, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

No comments:

Post a Comment