Friday, 13 April 2018

Ratiba ya nusu fainali ya UEFA imetoka

Hayawi hayawi na sasa yamekuwa.
Hatimaye droo ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya imepangwa.
Katika hatua hiyo Bayern Munich wataanzia nyumbani kucheza na Real Madrid na Liverpool wamepangwa kucheza na AS Roma ya Italia.

No comments:

Post a comment