Kiongozi wa umoja wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga leo (Alhamisi) amemtembelea rais wa zamani wa nchi hiyo, Daniel Toroitich arap Moi kwenye makazi yake yaliyopo huko Nakuru.
Rais Moi alirudi Kenya hivi karibuni kutoka nje alipokuwa akipatiwa matibabu.




Share To:

msumbanews

Post A Comment: