Tuesday, 24 April 2018

Picha: Real Madrid wakwea pipa kuifuata Bayern Munich

Kikosi cha Real Madrid kikiwa na nyota wake Cristiano Ronaldo kimekwea pipa hii leo siku Jumanne kuelekea Munich kwaajili ya mchezo wake wa klabu bingwa barani Ulaya.
Vijana hao wa Zinedine Zidane watawakabili Bayern Munich kwenye mchezo wa nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya unaotarajiwa kupigwa hapo kesho siku ya Jumatano
Ronaldo akiwaongoza wachezaji wenzake wameonekana wakiwa wamevalia ‘suite’ nyakati za asubuhi wakielekea ndani ya ndege tayari kutua Ujerumani.

JIUNGE NA BONGO5.COM SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na

No comments:

Post a Comment