Friday, 20 April 2018

Picha : Mwili wa marehemu Agness Masogange ulivyowasili Muhimbili


Mwili wa aliyekuwa Video Vixen Agnes Gerald (Masogange) ulishatolewa katika Hospitali ya Mama Ngoma na kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa kabla ya kutangazwa kwa ratiba za mazishi.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: