Wednesday, 4 April 2018

Picha: Harmonize na mpenzi wake Sarah waenda vekesheni Serengeti, mapokezi yao ni moto

Harmonize na mpenzi wake Sarah wameamua kwenda kupumzika kwa muda kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.
Wawili hao wamelazimika kusimamisha ratiba zao zote na kuamua kwenda kujionea maajabu kwenye mbuga hiyo maarufu duniani iliyopo wilayani Serengeti, mkoani Mara na wameonekana kupokelewa kwa shangwe kubwa.No comments:

Post a Comment