Picha 8 : Arsenal Ilivyotinga nusu fainali Europa League - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 12 April 2018

Picha 8 : Arsenal Ilivyotinga nusu fainali Europa LeagueKlabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League baada ya kutoka sare ya 2 – 2  dhidi ya CSKA Moscow kwenye dimba la Arena CSKA na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 6-3.
Kwenye mchezo huo uliyokuwa na ushindani mkubwa, CSKA Moscow ilianza kupata mabao yake kupitia kwa wachezaji wake, F Chalov dakika ya 39 na K Nababkin (50) waka upande wa  Arsenal, Danny Welbeck aliipatia bao la kwanza (75) kisha Ramsey akatupia lapili daki ya (90+2) na kujihakikishia kusonga mbele.
Aaron Ramsey celebrates his injury-time strike with Danny Welbeck as Arsenal survived an almighty scare in Moscow
Kikosi kamili cha timu zote mbili CSKA Moscow: Akinfeev (6), A. Berezutski (6), Ignashevich (6), V. Berezutski (6), Nababkin (7), Bistrovic (6), Kuchaev (6), Dzagoev (6), Golovin (7), Musa (6), Chalov (7)
Wachezaji waakiba : Vitinho (6), Natkho (6), Milanov (6)
Welbeck celebrates his goal 15 minutes from time which saved Arsenal's blushes and killed off CSKA Moscow's hopes
Arsenal: Cech (5), Bellerin (5), Monreal (5), Mustafi (5), Koscielny (5), Elneny (5), Wilshere (5), Ramsey (5), Welbeck (6), Ozil (6), Lacazette (5)
Wachezaji waakiba : Chambers (6), Iwobi (6)
Mchezaji bora wa mchezo huoAleksandr Golovin
CSKA's players celebrate their second of the night as Arsenal midfielder Ramsey looks down to the ground in disbelief

Arsenal inakuwa miongoni mwa timu tano za Uingereza zilizofanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ya Europa League baada kufanya hivyo kwa klabu ya Fulham msimu wa mwaka 2009/10, Liverpool msimu wa mwaka 2009/10 and 2015/16 , Chelsea mwaka 2012/13 na Man Utd mwaka 2016/17.
Fyodor Chalov celebrates his strike which hauled CSKA Moscow back into the tie in the 38th minute at the VEB Stadium
Picha za matukio ya uwanjani kwenye mchezo huo wa Europa League uliyopigwa usiku wa kuamkia leo

Russian left back Kirill Nababkin controls under pressure from Welbeck during the opening stages on Thursday night
Aleksandr Golovin, scorer of a free-kick in the first leg and another in the second, tries to get the better of Nacho Monreal

Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done