Majaliwa Eletronics ni duka la vifaa vya umeme kama TV, Home Theater, Friji,Sub woofer, Pasi, Rice cooker Vingamuzi vya Dstv,Azam Startimes,Zuku na Continental aina mbalimbali na vingine vingi. 

Wapo Arusha Stand Ndogo duka namba 93 Kila bidhaa yao ina warranty na kikubwa zaidi ukinunua bidhaa kwao utapata usafiri bure hadi kwako. Wapigie 0762405018 au wafollow katika page yao ya Instagram kuona bidhaa zao zote picha na bei ya kila bidhaa zao.

Kupitia Majaliwa Eletronics  unaweza pata friji kutoka makampuni ya Beko, Boss, Von HotPoint, Lg, MoElectro na mengine mengi.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za bidhaa zao
























Share To:

msumbanews

Post A Comment: