Nuh Mziwanda adai bado yupo single


Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuhu Mziwanda amefunguka kwa kudai kuwa kwasasa hayupo kwenye mahusiano na mwanamke yeyote ambapo pia amedai anaogopa kuingilia penzi la Shilole ambaye alikuwa mzenzi wake wa zamani kwa kuwa sasa hivi ni mke wa mtu.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: