New Video: Vanessa Mdee ft G Nako – Wet

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Wet’ ambayo amemshirikisha G Nako, pia wimbo huu unapatikana katika albam yake ya Money Mondays. Video imeongozwa na Justin Campos. Itazame hapa.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: