New Audio: Chemical f/ Mr Blue – Mjipange

Chemical ameendelea kuachia nyimboa mfululizo, baada ya ‘Hello’ rapper huyo ameachia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Mjipange’ ambayo amemshrikisha Mr Blue. Wimbo huo umetayarishwa na Bear Beats.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: