Mkuu wa Wilaya ya Iringa Edward Kasesela amefunguka kwa kudai kwamba muimbaji Nandy hapaswi kutukanwa kisa video yake ya utupu bali anatakiwa kupewa moyo kwa kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii walioathiriwa na mitandao ya kijamii. 

DC huyo amewataka wasanii kulinda brand zao huku akidai jambo alilofanya muimbaji huyo huwenda likawafanya mashabiki wasimuelewe kabisa.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: