Sunday, 15 April 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki kwa ajali


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari  iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: