Monday, 30 April 2018

Meya Sitta amtembelea Dkt. Slaa Sweden

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amemtembelea ofisini kwake Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa nchini humo.
Mhe. Sitta yupo nchini Sweden ambapo ametembelea manispaa ya Strängnäs ambayo ni marafiki wa jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Manispaa na Jiji.

No comments:

Post a Comment