Thursday, 12 April 2018

Mbunge Kingu Atoa Msaada wa Vitanda vyenye thamani ya Milioni 54


Mbunge wa Jimbo la  Singida Magharibi Mkoani Singida Mh.Elibariki Kingu Ametoa msaada wa Vitanda 85 vya kujifungulia kwa kina mama vyenye dhamani ya Tsh. Milioni 54 ambavyo vitasambazwa katika Jimbo la Singida Mashariki na Magharibi katika Wilaya ya Ikungi ambapo kila zahanati itapatiwa Vitanda viwili.

No comments:

Post a comment