Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.
Selemani Jafo akijibu hoja za Wabunge wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-
TAMISEMI.
Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Josephat Sinkamba Kandege akijibu hoja
wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.

 Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Joseph George Kakunda akijibu hoja wakati
wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI
 Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng Mussa Iyombe(Pili kushoto) akiwa na
watumishi wa Wizara wakifuatilia majadiliano ya Bajeti wakati wa
kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.
 Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI John Cheyo(kushoto)
akifuatiwa na Mkurugenzi wa Udhibiti wa huduma za TEHAMA Michael
Moshiro wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.
 Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala
wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.
 Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala
wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.

Naibu Waziri Mhe. George Kakunda(kushoto) akiwa na mkewe Mrs
Kakunda (kwanza kushoto) katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe.
Josephat Kandege(Pili Kulia) akiwa na Mkewe Mrs Kandege.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: