Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wamejiuzulu nafasi zao mapema leo Aprili 29 2018.

Madiwani waliojiuzulu ni Diwani wa kata ya Monduli Juu Ndg.Bariki Sumuni Libilibi,Diwani wa Viti Maalum Ndg.Einoth Leringa na Diwani wa  kata ya Mikungani Ndg. Gilbert Mawala madiwani hawa wote wamejiuzulu nafasi zao zote ndani ya Chadema na Kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm

Kuwa wa kwanza kupata habari pindi zinapotokea kwa kupakua App yetu ya Msumba News kwenye simu yako Tumekurahisishia; 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: