Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake kitakachoshuka dimba la uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuwakabili wenyeji wao Mtibwa Sugar FC katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara
1. Aishi Manula
2. Nicholas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Paul Bukaba
5. Yusufu Mlipili
6. Jonas Mkude
7. Mzamiru Yassin
8. Shomary Kapombe
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Ramadhani 
Kikosi cha akiba
12. Said Nduda
13. Mohamed Hussein
14. Haruna Niyonzima
15. Mwinyi Kazimoto
16. Said Ndemla
17. Rashid Juma
18. Laudit Mavugo

Share To:

msumbanews

Post A Comment: