Kauli ya Humphrey Polepole Baada ya Askofu Kakobe Kuitwa na Idara ya UhamiajiBaada ya watu mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuitwa kwa Askofu Kakobe na idara ya Uhamiaji kuhojiwa Uraia wake, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Twitter; “Mbona kuhojiwa jambo la kawaida? baadhi ya watu wanajenga tabia ya hovyo sana”

“Watu “wakubwa” wakiitwa kuhojiwa inaonekana kitu cha ajabu. Mbona huku mtaani kuhojiwa Polisi ni kitu cha kawaida tu, tuanze kuzoea na hasa ktk awamu ya 5 kwamba, na tunasisitiza binadamu wote ni sawa” 

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: