Sunday, 15 April 2018

Kambi ya jeshi la Umoja wa Mataiafa yashambuliwa

Kambi ya jeshi la Umoja wa Mataiafa yashambuliwa nchini Mali

Mwanajeshi mmoja wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa  MINUSMA nchini Mali ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa katika shambulizi lililoleng kambi ya   Timbokto Kaskazini mwa Mali. Shambulizi hilo litokea Jumamosi majira ya mchana.

Taarifa hiyo imetolewa na uongozi wa kikosi cha Minusma katika ukurasa wake wa Twitter usiku wa Jumamosi kumkia Jumapili. Kambi hiyo ya kikosi cha kulinda amani  ya Umoja wa Mataifa ilishambuliwa kwa makombora  zaidi ya 10.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: