Helikopta ya jeshi yaanguka

Wanajeshi wawili wa Marekani wameripotiwa kupoteza maisha baada ya helikopta waliokuwa wamepanda kuanguka katika uwanja wa ndege wa "Fort Campbell",Kentucky Marekani.

Kwa mujibu wa habari,helikopta hiyo ya kijeshi imeanguka karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Fort Campbell siku ya Ijumaa.

Helikopta hiyo  aina ya AH-64E ilikuwa ikifanya amzoezi karibu na uwanja huo wa ndege.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: