Friday, 6 April 2018

Harmonize atangaza nafasi ya kazi

Ikiwa ni wiki mbili tu zimepita tangu aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz, Kifesi kutangaza kuacha kazi na kuvunja mkataba wake na WCB, hatimaye Harmonize ametangaza nafasi za kazi.
Harmonize
Harmonize kupitia ukurasa wa Instagram ametangaza nafasi moja ya kazi ya videographer ambapo amesema kuwa anahitaji kijana mwenye ujuzi na kipaji.
Kama unakipaji kwa sasa unaweza kuomba nafasi hiyo kwa kupiga simu namba 0623300333 ili uweze kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kuwasilisha CV yako.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: