Monday, 23 April 2018

Hali ilivyo nyumbani kwa Mzee Gerald (Baba wa Marehemu Agnes Masogange)


MWILI wa msanii, Agness Gerald ‘Masogange’ tayari umeshawasili Nyumbani katika kijiji cha Utengule, Mablizi, mkoani Mbeya tayari kwa taratibu za mazishi.


Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: