Friday, 27 April 2018

GIGY MONEY AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE


Gift Stanford ‘Gigy Money’ akiwa na mpenzi wake ambaye ni mtangazaji wa Choice FM, Mo J.
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2018 amejifungua mtoto wa kike.
Akiongea na Mtandao wa Global Publishers  amethibitisha kujifungua na kusema kwa sasa amesharudi nyumbani na anamshukuru Mungu kujifungua salama.

Hata hivyo Gigy Money amesema mtoto wake haitwii Candy kama ilivyokuwa ikiripotiwa bali anaitwa Mayra.

Gigy Money ambaye kwa sasa anafanya vizuri na Ngoma ya Mimina yupo katika uhusiano wa kimnapenzi na mtangazaji wa Choice FM, Mo J.

Kupata habari za kuaminika kila siku pakua App yetu kwenye simu yako ili uwe wa kwanza kupata habari 

Tumekurahisishia; 

No comments:

Post a Comment