Europa League: Arsenal wapangiwa moto nusu fainali


Droo ya hatua ya nusu fainali ya kombe la Europa League 2017/18 imepangwa leo Ijumaa.
Baada ya kufanikiwa kupenya kwenye hatua hiyo kwa ubabe mkubwa, Arsenal wamepangwa kucheza na Atletico Madrid ya Hispania.

Wakati huo huo Olympique de Marseille wamepangwa kucheza na Salzburg.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: