Diwani wa kata ya Songoro katika Halmashauri ya Meru , Ndg.Charles Nnko wa (Chadema) amejiuzulu uanachama na udiwani leo hii na kutangaza kujiunga na ccm kwa kile alichoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh.Rais Magufuli.

Tumekurahisishia sasa Pakua App yetu hapo chini 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: