Saturday, 21 April 2018

BONDIA MTANZANIA ASHINDA MKANDA KWA KUMTANDIKA MGIRIKI


Bondia Mtanzania Serehe Mkarekwa kwa mara nyingine tena ameshinda mkanda wa ubingwa wa Africa kgs 66.6 welterweigth wa ABU nje ya nchi kwa kumpiga raia wa Ugiriki Abdrea Valans jumla ya kwa pointi nyingi.

Valans ambaye ni bondia mzaliwa wa Misri, alipokea kichapo hicho katika pigano lililopigwa usiku wa kuamkia leo nchini Kenya.Baada ya ushindi wa mkanda huo, Mkarekwa anatarajiwa kuwasili nchin siku yoyote kuanzia leo.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: