Friday, 13 April 2018

Bashe aishutumu Tamisemi Bungeni


MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ameishutumu Wizara ya Ofisi ya Rais – Tamisemi kwamba inashindwa kuwapa motisha walimu na matokeo yake, ni asilimia 40 tu ya walimu ndiyo wanaoipenda kazi yao, hivyo uwezekano wa kuinua elimu nchini ni mdogo sana.

Bashe pia ameituhumu serikali kuwapiga faini wafanyabiashara wadogo wadogo hata pale ambapo hawana makosa yanayostahili adhabu hizo, na matokeo yake wengi huishia kufilisika mitaji yao.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: