WIZARA YA ELIMU YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI 2017/18 NA MAKADIRIO YA BAJETI 2018/19 KWENYE KAMATI YA BUNGE


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji kwa mwaka wa Fedha 2017/18 na makadirio ya bajeti kwa mwaka 2018/19 kwenye kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.

Uwasilishaji wa Taarifa hiyo umefanyijka leo katika ofisi za Bunge  mkoani Dodoma ambapo wajumbe wa Kamati hiyo wamepata fursa ya kupitia na kujadili fungu 46.

Imetolewa na;
Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia
27/3/2018
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: