Rapper Chemical na Centano wameachia video ya wimbo wa mpya unaoitwa ‘Kilwa Yetu’. Ngoma hiyo imetayarishwa na Mocco Genius, wakati video imeongozwa na director Minzi Mims.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: