Tuesday, 20 March 2018

Tazama Video ya kwanza ya Weasel baada ya kifo cha Mose Radio

Member wa kundi la Goodlyfe kutoka nchini Uganda, Weasel  ameachia video ya kwanza tangu kutoka kifo cha msanii mwenzake, Mose Radio. Video hiyo ni ya wimbo uitwao Tokyayitaba, video imeongozwa na Darlington. Itazame hapa.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: