Serikali yatoa ufafanuzi mwekezaji anaedai kuzuiwa kuingiza sukari Tanzania Bara

Serikali kupitia Msemaji wake, Dkt. Hassan Abbasi imetolea Ufafanuzi Malalamiko ya Mwekezaji kiwanda cha Sukari ZSFL anedaiwa kuzuiwa kuingiza sukari yake Tanzania Bara ambapo awali Kiwanda hicho kilimilikiwa na Serikali kabla ya kubinafsishwa kwa mwekezaji. Tazama video hii Dkt. Abbasi akitolea ufafanuzi.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: