Thursday, 1 March 2018

Serikali yaanza upya kuhakiki vyeti feki


Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A. Mtunguja imetangaza kuanza leo Februari 28 zoezi la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na sita kwa watumishi wake, kufuatia kupata taarifa uwepo watumishi ambao wanavyeti feki
Taarifa ya Katibu Tawala imesema kuwa wameamua kurudia zoezi hilo la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita ili kuwabaini watu ambao bado wananufaika na malipo ya serikali licha ya kuwa na vyeti feki. 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: