RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA


Mkuu wa wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amezindua siku ya upandaji miti kimkoa katika halimashauri ya MBINGA,ambapo katika zoezi hilo zaidi ya miti laki mbili imepandwa wilayani humo aina ya paini inayokadiriwa kukomaa baada ya miaka saba

Serikali kupitia mradi wa panda miti kibiashara imetenga shilingi milioni mia moja kwa wilaya ya Mbinga,Nyasa, Na Halimashauri Ya Madaba ,Huku wastani wa hekali moja mkulima anaweza kujipatia shilingi milioni ishirini, 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: