Mwanasiasa maarufu wa Urusi, Boris Johnson amesema kuwa anaunga mkono kauli ya rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin kuwa ataitumia michuano ya kombe la Dunia kulifanya taifa hilo kuwa lenye amani kama alivyowahi kuitumia rais wa Ujerumani, Aldolf Hitler wakati wa michuano ya Olimpiki ya mwaka 1936 katika masuala ya amani.
Johnson amesema kuwa kutakuwa na mazungumzo ya haraka dhidi ya Urusi kuhusu usalama wa mashabiki katika mashindano hayo yajayo.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi amesema kuwa raia wa nchi hiyo wameathirika na chuki iliyodumu kwa muda mrefu.
Mara kadhaa kumekuwa na matukio yakitokea ndani ya nchi hiyo ambayo huathiri wageni kwa namna moja ama nyingine.
Kuna maombi ya zaidi ya watu 24,000 kutoka Uingereza wakitaka kuwasili nchini Urusi kushuhudia kombe la dunia ukilinganisha na watu 94,000 waliyopata nafasi ya kushuhudia Rio mwaka 2014 nchini Brazili.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: