RAIS MAGUFULI AWATAKA MAASKOFU WAHUBIRI VIWANDA


IKIWA ni siku tatu baada Baraza la Maaskofu wa KKKT kutoa waraka kwa Taifa, Rais Dkt. John Magufuli amewaomba maaskofu wajaribu kuhubiri kwamba Tanzania inahitaji viwanda ili Watanzania wapate ajira na kuokoa Sh. Bilioni 500 zinazopotea kila mwaka kununulia madawa.

Rais Magufuli amesema hayo leo wakati akizindua magari 181 ya Bohari ya Dawa (Medical Store Department – MSD) yatakayosaidia kusambaza madawa sehemu mbalimbali nchini.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: