Tuesday, 20 March 2018

Rais Magufuli amteua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi

Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi.
Wateule wote wataapishwa Machi 21 Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 asubuhi.
Awali aliteuliwa kuwa Balozi bila kupewa nchi.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: