Thursday, 8 March 2018

Picha : Rc Mnyeti Alivyotembelea kuhakiki mipaka ya Tarangire na pori la mkungunero


Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa manyara Alexander Mnyeti akiwa sambamba na waatalam mbali mbali wa Serikali wakati akihakiki alama za mipaka  iliyoweka na hifadhi ya taifa  ya Tarangire na pori la hifadhi mkungunero katika  Kijiji cha kimotoroki Wilaya ya Simanjiro mkoani manyara.

Wanachi wa kijiji cha kimoroki wakati wakisikiliza mkuu wa Mkoa wa manyara Alexander mnyeti Mara baada ya kukagua alama zilizowekwa na hifadhi ya Tarangire na pori Tengeru la mkungunero.

Matukio  ya picha mbalimbali


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: