Friday, 23 March 2018

Picha: Makamu wa Rais Mama Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Bill & Melinda Gates Foundation

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo (Ijumaa) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bill & Melinda Gates Foundation, Rodger Voorhies.
Mhe. Samia amekutana na Voorhies kwenye makazi ya Makamu wa Rais, Kilimani mjini Dodoma.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: