PICHA: Lowasa na Mbowe Wasali Ibada Ya Jumapili KKKT Azania Front Posta - MSUMBA NEWS BLOG

Sunday, 25 March 2018

PICHA: Lowasa na Mbowe Wasali Ibada Ya Jumapili KKKT Azania Front Posta


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe Edward Lowasssa, leo Wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam

Ibada ya Jumapili ya Matawi huadhimishwa wiki moja kabla ya Sikukuu ya Pasaka.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done