Baada ya kutua salama Botswana, kikosi cha Yanga kimeanza kujfua kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers utakaopigwa Machi 17 2018.

Tazama picha mbali za matukio namna Yanga walivyofanya mazoezi jana.




Share To:

msumbanews

Post A Comment: