Picha: John Terry alivyotembelea mazoezi ya Chelsea na kukutana na Conte - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 8 March 2018

Picha: John Terry alivyotembelea mazoezi ya Chelsea na kukutana na Conte

Mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Terry, amewatembelea wachezaji wenzake wa timu hiyo kwnye mazoezi.

Terry ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Aston Villa, ametembelea mazoezi hayo na kukutana na kocha Antonio Conte pamoja na wachezaji wenzake wa zamani wa timu hiyo.


Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done