Wednesday, 7 March 2018

Picha : Dc Monduli Atembelea miradi mbalimbali ya maji


Mkuu wa wilaya ya Monduli Mh. Idd hassani kimanta jana alifanya ziara ya kutembelea na kukabidhi Miradi ya mabadiliko ya Tabia nchi ambapo miradi hiyo ilitekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Monduli kwa  jumla ya Tsh 601.330.069 

Mradi ambayo Dc Kimanta alitembelea na kukagua ni  ujenzi wa soko  la mifugo katika kijiji cha nanja kiligharimu  Tsh.128.179.388 Mradi wa Maji wa upanuzi  wa mtandao wa maji  kijiji cha irerendeni katika kata ya Engaruka ambapo pia mkuu huyo  alikabidhi kwa kamati ya usimamizi wa mradi ambayo inaundwa wanakijiji na halmashauri.
No comments:

Post a comment