Staa wa muziki wa Hipo Hop Nikk Wa Pili anayeunda kundi la weusi ambapo caption yake katika instagram yake imezua gumzo mitandaoni.   

Kupitia instagram account ya Nikk Wa Pili ameandika ujumbe ambao mashabiki wameutafsiri tofauti kutokana na maneno aliyoyaadika

“Chiti na demu mkaliiii mpaka demu wako akikufumania nae, badala ya kumpiga mangumi ana mwomba kupiga nae picha, nakumuuliza anatumia mafuta gani, amewezaje kuwa na ngozi nzuri hivyo na namna alivyo tunza shepu na kutokua na tumbo kabisa” -Nikk wa Pili
“So akiondoka haondoki na machozi anaondoka na notes alafu akukubali kuwa wewe mbaya, yani ye mwenyewe kabahatisha kuwa na wewe ha ha ha naangalia comedi hapa usije ukachukulia serious” -Nikk wa Pili

U

Share To:

msumbanews

Post A Comment: