New Video: Lady Jaydee f/ Luciano – AnawezaMalkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Anaweza’ ambao amemshirikisha msanii mkongwe ktoka Jamaica, Luciano. Wimbo umetayarishwa na Spicymusik wakati vieo imeongozwa na Justin Campos a Afrika Kusini.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: