MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WASANII WA FILAMU YAFANYIKA MKOANI ARUSHA

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo akitoa maelekezo kwa wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu wa mkoa huo yaliyofanyika jijini Arusha. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo.
 Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha, Irene Ngao (kushoto) akizungumza na Wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu yaliyofanyika  jijini Arusha. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo.
 Wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha wakifuatilia mafunzo ya uandaaji wa filamu yaliyofanyika leo jijini Arusha, mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Bodi ya Filamu Tanzania yamehusisha zaidi ya wasanii mia moja.
 Kaimu Afisa Elimu Wilaya ya Arusha Mjini, Antony Mushi akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha yaliyofanyika  jijini Arusha. Mafunzo hayo yameratibiwa na Bodi ya Filamu Tanzania ambapo zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo (wa kwanza kushoto) akicheza ngoma na wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtikisiko Sanaa Group cha jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu mkoani humo mapema hii. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo. Picha Zote Na Octavian Kimario WHUSM
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: