Madiwani watatu wa Chadema na Cuf wamejiuzulu na kujiunga na Ccm

Madiwani watatu wa upinzani kutoka Wilaya ya Mtwara Vijijini, Mtwara wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi leo, Madiwani hao ni mmoja kutoka CHADEMA na wawili kutoka CUF. 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: