Monday, 12 March 2018

Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Stand United hiki hapa

Yanga SC yatangaza kikosi chake kitakacho ingia wanjani hii leo kuivaa timu ya Stand United mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
Youthe Rostand, Juma Abdul, Gadiel Michael , Said Makapu, Kelvin Yondani, Maka Edward
Yusuph Mhilu, Pius Buswita, Obrey Chirwa, Raphael Daudi, Ibrahim Ajib
Kikosi cha akiba
Ramadhani Kabwili, Hassan Kessy, Haji Mwinyi, Abdalah Shaibu ‘Ninja’, Thaban Kamusoko, Emmanuel Martin, Juma Mahadhi.

No comments:

Post a comment