Hii ndiyo sababu ya Mbunge Mary Nagu kuwekwa rumande


Mbunge wa Hanang Mary Nagu na katibu wake wamewekwa rumande kwa amri ya Mkuu wa Wilaya kwa kile kinachodaiwa kuitisha mikutano ya kuwachonganisha wananchi na viongozi wao.

BONYEZA PLAY HAPO CHINI KUTAZAMA
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: